Natafuta kazi, nimesoma mass communication

Ipananga kulwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
573
Reaction score
294
Habari za mihangaiko wana JF,

Kama kichwa cha somo kinavyosomeka,

Natafuta kazi nimechoka kuzunguka na bahasha na kununua bando za kutuma maombi ya kazi bila hata kuitwa nikafanye usaili.

Nisaidieni jamani nina degree ya mass communication, tangu 2014.
 
Samahani mkuu iwapo utakwazika kwa ukweli huu hapa,
Tatizo kuu la vijana wa leo ni bongo zao kuzorota na kuwaza kuajiriwa na hatimaye kuwa na maisha mazuri kama ambavyo tulikua tukijidanganya tulipokua chuo kikuu. Kuna uwezekano mkubwa sana wa wewe kujiwekeza kwa taaluma yako hiyo bila kulia lia njaa ya ajira kwenye mitandao ya kijamii, ngoja nikupe mfano hai kabisa
Nina rafiki yangu alisoma kozi hiyo toka SAUT akahitimu 2013 then akaamua kujiwekeza kwenye fani ya picha na video, kwakua hakua na mtaji isipokua laptop yake na camera tu alichokifanya ni kutafuta hawa ma-MC mbali mbali wa mashughuli ambao ndio wanajua shughuli haswaaa... Akakutanishwa na watu wanaorekodigi kwenye masherehe akaomba kujitolea ili atengeneze network na uzoefu pia lakini wakati huo huo akawa anapita shule mbali mbali anaomba tender ya kuwapiga passport size wanafunzi wao pamoja na picha waendapo vacation ya kishule so jamaa ni miaka minne tu now ana ofisi yake yenye vifaa tosha kwaajili ya kwenye mashughuli mbali mbali.... Jiongeze acha kulia huku, watakuja wataishia kukupa pole na kukuambia ngoja wajuvi wanakuja lakini hautasaidia kitu... 3 years kama ungeamua ungekua mbali now
 
Duu tatizo ukwel unaumaa,,bora tu unidanganye stress zipungue
 
Wakati ukisubiri kupata kazi, nina hakika ukiamua unaweza pata 50,000. Endapo ungeahidiwa kwenda interview mkoa tofauti na uliopo bila shaka ungetafuta nauli yenye thamani zaidi hata ya 50,000 popote na ukaipata.

Sasa basi, hiyo 50,000 hapo ulipo fanya hivi. Tafuta kijana asiye na kazi wa mtaani. Mnunulie jiko la kuchomea mahindi, mkaa, kiti na mahindi ya kuanzia angalau 50 hivi.

Mahindi mabichi 50 = 250x50 = 12500/=
Jiko la kuchomea mahindi na mkaa wa kuanzia 20,000/=
Kiti cha kukalia cha Plastic 13,000/=
Hivyo 12,500+20,000+13,000= 45,500.

50,000 -45,500 = 4500
Hiyo 4500 utaitumia kama nauli ya kuafatilia mahindi.

Mauzo..
Day 1
Mahindi 50 x 500 = 25,000

Siku ya kwanza wewe na kijana msichukue faida yoyote.

Siku ya pili ongeza kiasi cha Mahindi na kufikia 80 yenye gharama ya 20,000. Inayobakia nunua Mkaa na usafiri.

Siku hiyo mtauza mahindi 80x500 = 40,000/=..

Siku ya tatu muwe na target ya kuuza mahindi 100 x500 =50,000 ambayo ndiyo itakayokuwa target yenu ya kila siku.

Kwa mauzo ya gross profit ya 50,000 kwa siku mkitoa gharama za uendeshaji mnaweza kubakia na 20,000 kama net profit. Hapo mkigawana kila mmoja ni sawa na 10,000 x30 @ mwezi ni sawa na 300,000.

300,000 x vijiwe vitatu mjini una profit ya 900,000 ambayo ni sawa na mshahara wa mtumishi Serikalini mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 6 au 9 kazini.

MUHIMU: Kufanikiwa si rahisi sana kama nilivoonesha hapo juu, lakini kila aliyefanikiwa alianza kwa mipango ya mezani kama nilivyoonesha hapo juu.

Kila la kheri mkuu.!
 
Heart wood wewe umeshawahi kufanya hiyo biashara?!
Nimewahi kuelimisha watu kwenye group moja la ujasiriamali kuhusu mchanganuo kama huo wako. Ujasiriamali sio rahisi hivyo kama wengi wanavyodhani, kuna changamoto nyingi sana ambazo zipo nyuma ya huo mchanganuo
1) Msimu wa mahindi kuuzika ni kipindi cha mvua inayoambatana na baridi ambapo kwa Dar ni miezi ya 3 hadi 6 mwanzoni, miezi mingine hiyo hesabu ya kuuza mahindi haiwezekani kabisa. Sababu kwanza mahindi yanakua mabaya halafu pia mahindi hayaliki wakati wa joto
2) Huyo kijana labda umtoe ndugu yako kijijini ndio ataweza kufanya biashara isiyo na mtaji eti avumilie biashara yako ikue ndio umlipe, hamna zwazwa wa aina hiyo. Unless ukae mwenyewe, kwanza mpaka kufikiria kutafuta kijana means una aibu huwezi kupambana kuuza mwenyewe shame on you
3) Faida unaitamka kwa mdomo sababu hujawahi kuuza mahindi, faida kubwa inaishia njiani tu na ni bora mara 200 anaechoma maandazi anaweza pata faida kubwa akiwa mjanja kuliko mchoma mahindi
4) Mtaji huo wa 50,000 huwezi patikana kirahisi kama mfano wako huo. Mtu anaweza kukukopesha hata laki 2 iwapo anajua una uhakika wa kupata ajira umrudishie hela yake, hakuna mtu anaweza kukupa 50,000 eti ukachome mahindi labda awe baba au mama yako ila hata hao wanaweza kukugomea
5) Labda uwe unaishi kwenu kula kulala ila kama unajitegemea huo mchanganuo wako ni batili, utahitaji kula, kulipa bili zote... Sasa iwapo mtaji tu ni wa kukopa ili uchome mahindi then urudi kwa ndugu au wazazi ili ukwepe kodi na chakula ndio hapo mtaji utakua ila out of that hakuna cha maana utakachokipata
 
Ok mkuu ...uko sahihi kabisa ngekuwa na Camera na laptop nigefanya hizo shughuli mkuu

Ahsante Mku kwa ufafanuz huo ...umenifungua akili saana
 
Duhh ...sawa sawa maana ni shida
 
Theoretically speaking yes!!! Ila twende kwenye reality ndugu yangu utasugua gaga mpaka umalize mawe!!!! Ingekuwa hivyo wauza mahindi wangekuwa mabilionea
 
Wakati ukisubiri kupata kazi, nina hakika ukiamua unaweza pata 50,000. Endapo ungeahidiwa kwenda interview mkoa tofauti na uliopo bila shaka ungetafuta nauli yenye thamani zaidi hata ya 50,000 popote na ukaipata.

Sasa basi, hiyo 50,000 hapo ulipo fanya hivi. Tafuta kijana asiye na kazi wa mtaani. Mnunulie jiko la kuchomea mahindi, mkaa, kiti na mahindi ya kuanzia angalau 50 hivi.

Mahindi mabichi 50 = 250x50 = 12500/=
Jiko la kuchomea mahindi na mkaa wa kuanzia 20,000/=
Kiti cha kukalia cha Plastic 13,000/=
Hivyo 12,500+20,000+13,000= 45,500.

50,000 -45,500 = 4500
Hiyo 4500 utaitumia kama nauli ya kuafatilia mahindi.

Mauzo..
Day 1
Mahindi 50 x 500 = 25,000

Siku ya kwanza wewe na kijana msichukue faida yoyote.

Siku ya pili ongeza kiasi cha Mahindi na kufikia 80 yenye gharama ya 20,000. Inayobakia nunua Mkaa na usafiri.

Siku hiyo mtauza mahindi 80x500 = 40,000/=..

Siku ya tatu muwe na target ya kuuza mahindi 100 x500 =50,000 ambayo ndiyo itakayokuwa target yenu ya kila siku.

Kwa mauzo ya gross profit ya 50,000 kwa siku mkitoa gharama za uendeshaji mnaweza kubakia na 20,000 kama net profit. Hapo mkigawana kila mmoja ni sawa na 10,000 x30 @ mwezi ni sawa na 300,000.

300,000 x vijiwe vitatu mjini una profit ya 900,000 ambayo ni sawa na mshahara wa mtumishi Serikalini mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 6 au 9 kazini.

MUHIMU: Kufanikiwa si rahisi sana kama nilivoonesha hapo juu, lakini kila aliyefanikiwa alianza kwa mipango ya mezani kama nilivyoonesha hapo juu.

Kila la kheri mkuu.!
Sawa ni ushauri mzuri ila ...ukija kwenye maisha ya sasa ya mtaan na iyo njia. ....hakuna ukweli wowote apoo ....
 
Habari za mihangaiko wana JF,

Kama kichwa cha somo kinavyosomeka,

Natafuta kazi nimechoka kuzunguka na bahasha na kununua bando za kutuma maombi ya kazi bila hata kuitwa nikafanye usaili.

Nisaidieni jamani nina degree ya mass communication, tangu 2014.
ndugu kama utaitaji njoo tujumuike kwenye blog ukiwa makini hauta.waza tena kuajiliwa kma upo.tayari nicheki swahibanewz@gmail.com
 
Back
Top Bottom