Natafuta kazi, nimesoma Logistic!

Natafuta kazi, nimesoma Logistic!

tororoka

Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
16
Reaction score
3
Habari zenu WanajamiiForum.

Natafuta kazi inayohusiana na Transport and Logistics nina diploma ya Logistics and Transport management nimehitimu mwaka jana katika chuo cha Taifa cha Usafirishaji

Ahsanteni sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom