Natafuta kazi nimesoma diploma ya Human resource

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,475
9,391
Jamani natafuta ajira yeyote ile ila iwe tu ya halali umri wangu miaka 25,elimu yangu ni diploma ya human resource management namba zangu ni 0659756647,napatikana Dar es salaam.
 
Sikukatishi tamaa ila kwa hicho ulichosomea kupata ajira hadi miaka 10 ijayo na kuendelea
 
Walau ungekuwa na degree mkuu! walau diploma ya records,secretariat ndio zina entrance ya diploma mkuu! Jichange walau kapige bachelors
 
Duuuh ama kweli Jf inaweza kukatisha tamaa ya kuiona kesho
Sijakukatisha mkuu labda kama nje ya field uliosomea unaweza kupata ila kwa profesinal as HR hapo huwa wanachukua kuanzia degree! Mwisho mkuu labda ujikite kuomba kazi za mtendaji wa mtaa au vijiji kama nimekudisapointed samahan mkuu@
 
yah upo sahih kaka
 
Sio mm boss, mtoa mada ni tofaut nami, mm nilicoment tu.
 
Jamani natafuta ajira yeyote ile ila iwe tu ya halali umri wangu miaka 25,elimu yangu ni diploma ya human resource management namba zangu ni 0659756647,napatikana Dar es salaam.
Sijui nikushaurije kwanini usianze kufuga kuku hata 10? Baada ya mda utakua na mtaji wa kuku zaidi....nilianza na kuku 3 sasa namtaji wa airtl money na tigo pesa laki 5 mkononi na laki 5 float...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom