X Xian Senior Member Joined Mar 24, 2014 Posts 127 Reaction score 42 Apr 17, 2014 #1 Nimemaliza degree yangu ya mass communication mwaka jana 2013, niko dar es salaam natafuta kazi.
S shigegele JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 211 Reaction score 25 Apr 17, 2014 #2 jieleze vizur kamanda
M msa4 Member Joined Mar 22, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Apr 17, 2014 #3 ofcoz ni challenj lakini usikate tamaa mkuu kuwa mvumilivu! pia jitume kwenye kazi nyingine ambazo haziitaji elimu huku ukiiangalia bahati yako! ila kiufupi mtaani ndio kilivyo!
ofcoz ni challenj lakini usikate tamaa mkuu kuwa mvumilivu! pia jitume kwenye kazi nyingine ambazo haziitaji elimu huku ukiiangalia bahati yako! ila kiufupi mtaani ndio kilivyo!