Natafuta kazi naombeni msaada

Natafuta kazi naombeni msaada

Xian

Senior Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
127
Reaction score
42
Nimemaliza degree yangu ya mass communication mwaka jana 2013, niko dar es salaam natafuta kazi.
 
ofcoz ni challenj lakini usikate tamaa mkuu kuwa mvumilivu! pia jitume kwenye kazi nyingine ambazo haziitaji elimu huku ukiiangalia bahati yako! ila kiufupi mtaani ndio kilivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom