MIMI NA TZ
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 197
- 18
Nina degree ya cooperative management and accounting from sua

mwenyewe nimeshangaaSUA ipi.?
chuo kishiriki cha sua (MuCCOBS)
elewa chuo kishiriki maana yake ni nini,nimemaliza chini ya SUA na vyeti vyetu vimetoka SUA sasa niseme Muccobs na Vyeti ni Vya SUA muwe mnaelewa
Sema kabisa nina degree kutoka Muccobs ukianza kuchanganya mambo utaonekana kabisa hata kazi huwezi kijana, Muccobs ni chuo kinachotambulika vizuri tu, ungesema kabisa nina degree kutoka Muccobs...kijana inaelekea hujiamini na elimu yako hiyo.
Anataka kusafiria nyota ambayo c yake,
Wewe ndiyo hujielewi kijana kwani hakuna mtu tanzania asiyejua kuwa Muccobs ni affiliate college ya Sua, still that doesnt make you a SUA graduate,,, Muccobs ina uongozi wake ina Mkuu wake wa Chuo, iko tofauti,ingekuwa ni chuo kimoja basi ungeweza kuhama uhamie Sua uendelee na masomo.
Watanzania mnajifanya wajuaji sana kwani mleta mada kakosea nini wakati vyeti vimeandikwa Sua na mjue ile ni college iliyo chini ya sua.
Sio ujuaji, naomba unitake radhi watu humu tuna uelewa wetu kama unaona tunayosema hayakufai kaa kimya. Muccobs ni chuo kikuu kishiriki cha Sua lakini hakina mandate ya kuitwa SUA, kwenye degree ya Muccobs kuna nembo ya Muccobs na ya SUA kama chuo cha uangalizi tu, degree sinazotolewa ni za MUccobs na siyo SUA, SUA ni chuo kikuu "Kiangalizi" tu baad ya muda Muccobs inakua na full autonomy, sasa toka lini Chuo cha Kilimo kitoe degree za biashara??? Kama hujaelewa na hapo wewe endelea kubisha tuu kwasababu unataka kuongeza idadi ya post zako na siyo uelewa wako wa mambo.