Natafuta kazi Moshi

Natafuta kazi Moshi

Chai Maziwa

Member
Joined
Jan 24, 2022
Posts
82
Reaction score
461
Habari.

Natafuta kazi maeneo ya Moshi. Nmehitimu nna vyeti kwenye kada za afya. Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au huduma nyingne zozote za afya.

Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya

Nipo Moshi mjini
 
Ulijaribu kuomba hizi za Wizara..!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom