Natafuta kazi (masoko)

Natafuta kazi (masoko)

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
366
Reaction score
140
Habari wana jf,

Naitwa Frank naishi chanika dar es salaam naomba mabosi zangu wenye biashara zenu kwayoyote anaeitaji kijana kwajili ya masoko (kutafuta wateja) basi nipo hapa Nina uzoefu wa miaka 3 ivyo nazijua changamoto zote zinazo husu masoko kikubwa ni kufanya kazi kwa bidii na juhudi zote namba zangu 0677423349 nipigie nipo hewani muda wote au nitafute WhatsApp kwaiyoiyo namba nitashukuru sana kama nitapata boss wakufanya nae kazi jamani mwanzo wa mwaka huu.

Asanteni sana
 
Mkuu kazi masoko siyo za kutafuta.

Hakuna mfanyabiashara asiyependa wateja
 
kwakua tayari ni mtaalam wa masoko zama chaka msimu huu wa kilimo upige vibarua upate mtaji wa kuanzia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom