TPA bdo hajawaita tu nyie ma office attendants
Kama uko dodoma nenda nssf na maombi ya katibu muhtasi wametoa nafasi hio ya kazi.Mimi Ni Binti wa miaka 23 natafuta kazi katika maofisi nifanye km secretary,receptionist au office attendant Nina experience kama office attendant miaka 4. Tafadhal mwenye connection naomba tusaidiane wapendwa hta sales pia nitafanya km itapatikana kwa mawasiliano yang plz naomba nipm asanten sana.
Afu hawa receptionists wanakuaga wakuda sana pale Vijana watafuta ajira kama wao wakiomba kuonana na HR...
Wanavimba kwenye front desk.
Nami ni mhanga,izo nafasi wametoa sehemu gani ama gazeti gani,za mafundi umeme vipi napo hawajatangazaKama uko dodoma nenda nssf na maombi ya katibu muhtasi wametoa nafasi hio ya kazi.
Inategemeana umekujaje.Afu hawa receptionists wanakuaga wakuda sana pale Vijana watafuta ajira kama wao wakiomba kuonana na HR...
Wanavimba kwenye front desk.
Mkuu kumbe mambo ndivyo yalivyo?Inategemeana umekujaje.
Mimi ni mlinzi. Nimechana sana barua za waombaji wa kazi.
Ukijifanya mbongo mimi mwenyewe mbongo 100%
Inategemeana umekujaje.
Mimi ni mlinzi. Nimechana sana barua za waombaji wa kazi.
Ukijifanya mbongo mimi mwenyewe mbongo 100%
Nahisi ule ukaribu wao na mameneja ndo wanajiona na wao kama mameneja' wa hiyo kampuni.Kuna mmoja alinivimbia ile nataka sepa akatokea mama ndo meneja wa pale akasema mbna mmekaa muda mrefu na uyo kaka anataka nn?? Me nkasalimia nikamwambia nashida na meneja akasema ndo me twende oficin, dada alipata aibu sana
Inategemeana umekujaje.
Mimi ni mlinzi. Nimechana sana barua za waombaji wa kazi.
Ukijifanya mbongo mimi mwenyewe mbongo 100%
Subiri malipo ni hapa hapaInategemeana umekujaje.
Mimi ni mlinzi. Nimechana sana barua za waombaji wa kazi.
Ukijifanya mbongo mimi mwenyewe mbongo 100%