Natafuta kazi kwenye sheli

Natafuta kazi kwenye sheli

mama roy

New Member
Joined
Feb 4, 2021
Posts
4
Reaction score
5
Habari wapendwa mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,ninatafuta kazi kwenye sheli nlikua naomba kuuliza barua ya maombi ya kazi naipeleka wapi au nifanye nini ili niweze kupata maana nina uhitaji sana wa kazi.
 
Nakushauri uende kwenye hizo sheli wakupe muongozo zaidi maana kila kazi ina taratibu zake
 
Pole pole, una uhitaji sana wa kazi au pesa?

Ni kiasi gani wanalipwa Pump attendant?

Naona Victoria huwa wanaweka vibinti vingi na kujaribu kuvifanya kuwa vilokole, ingawa na uchaga unahusika kuajiriwa pale, vipi wewe ni mchaga?

Mtu akijitolea kukupa huo mshahara utakaoupata kule kila mwezi, utakubali kukaa home?
 
Palipobaki hapo mkuu muachie namb pm tu.
 
Pole pole, una uhitaji sana wa kazi au pesa?

Ni kiasi gani wanalipwa Pump attendant?
Naona Victoria huwa wanaweka vibinti vingi na kujaribu kuvifanya kuwa vilokole, ingawa na uchaga unahusika kuajiriwa pale, vipi wewe ni mchaga?

Mtu akijitolea kukupa huo mshahara utakaoupata kule kila mwezi, utakubali kukaa home?
Umeanza roho njema?
 
Yaani umpe mshahara bila kazi? Au kutakua na kazi nyingine tofauti? Au atakaa home wapi kwako ama? . Hela nzuri ni ile mtu atakayoifanyia kazi halali(jasho lake) mpe mchongo huo atakukumbuka hata atakapokua mzee
 
Wazee wa fursa
 
Nenda Kwa meneja wa kituo chochote unachotamani kufanyapo kazi uongee nae
 
Yaani umpe mshahara bila kazi? Au kutakua na kazi nyingine tofauti? Au atakaa home wapi kwako ama? . Hela nzuri ni ile mtu atakayoifanyia kazi halali(jasho lake) mpe mchongo huo atakukumbuka hata atakapokua mzee
😀😀😀
Ndio kiini cha swali kwa mhusika, anatafuta kazi kweli au anataka pesa?
 
Kwa msaada nenda sheli ya Meru ile ya huku njia ya kuelekea Buguruni sikumbuki ni kituo Gani. Kuna Mzee mmoja ana asili ya kiarabu nahisi ni meneja ni mstaarabu, anaweza akakusaidia. Nilienda kwa ishu nyingine mwaka jana nikakutana nae kibahati mbaya tu akanisimamisha nikamuelezea shida yangu japo sikusaidika ila niliongea nae vizuri sana.
 
na siku hizi naona Petrol stations zimekua kama uyoga.

Hivi Petrol station za shell (sheli) zipo tena Tanzania kweli?
 
Habari wapendwa mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,ninatafuta kazi kwenye sheli nlikua naomba kuuliza barua ya maombi ya kazi naipeleka wapi au nifanye nini ili niweze kupata maana nina uhitaji sana wa kazi.
Andika barua ya maombi,ukiambatanisha na barua ya mdhamini ,passport size, pamoja na barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa peleka sheli husika,unaweza ukaandika nying pia ukasambaza sheli tofaut tofaut huwez jua bahati yako itaangukia wap coz kam huna connection pia inakua n changamoto kupat.
Nakutakia Kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom