Nuru usikonde. Usione wako kimya. Wanafanya mawasiliano. Soon watarudi kwako.
Kesho au mara nyingine ukiwa unaandika bango kama ili, andika taratibu, kisha jitahidi details zako zoote za muhimu unaziweka ili msomaji asipate kuuliza maswali.
Mfano:
-Jina sio muhimu.
-Jinsia na Umri (Kuna kazi unaweza mpa mtu ikawa as if child labour, kesi)
-Mahali ulipo.
-Elimu yako ya mwisho (Highest Level)
-Uzoefu wa kazi.
-Ujuzi mwingine kama computer knowledge, driving etc
Yaani unakua kama umeweka kaji-CV kako kidogo hapa.
Soon watakutafuta wakuu.