Natafuta kazi katika makampuni

Natafuta kazi katika makampuni

Morles Josbin

Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
10
Reaction score
2
poleni sana na majukumu ndugu wana jamiiforum ila me naitwa mohamed kutoka mbez beach shida ya naombeni mniambie ni ofisi ipi ambayo naweza kupeleka CV kwa ajiri ya maombi ya kazi
 
Kazi gani? Na level yko ya elimu?
 
Back
Top Bottom