1. degreeKaka
1. Umesomea mechanical level gani?
2. Unapatikana wapi?
3. Una ujuzi wowote?
4. Una maana gani kusema kazi yeyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Probably atakua ana 29Umri wako ni btn 25-30....yaani hata cheti chako cha kuzaliwa kimeandikwa hivyo...sawa mkuu wanakuja
Umri wako ni btn 25-30....yaani hata cheti chako cha kuzaliwa kimeandikwa hivyo...sawa mkuu wanakuja


1. degree
2.Dar
3.ni graduate
4.kazi yoyote ya mechanical nko tyar kufanya[
Temesa wametoa omba mkuu
Sasa hivi unapatikana wapi kaka?sifa nlizokuwa nazo
nmesomea mechanical engr
age n btn 25 - 30
kazi sehem yoyote niko tyar
Kazi sehemu yeyote yupo tayari kufanya.Kaka
1. Umesomea mechanical level gani?
2. Unapatikana wapi?
3. Una ujuzi wowote?
4. Una maana gani kusema kazi yeyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo "yoyote" ndipo unapokosea.Taja chochote ambacho wewe unajiamini unajua.1. degree
2.Dar
3.ni graduate
4.kazi yoyote ya mechanical nko tyar kufanya
Kazi sehemu yeyote yupo tayari kufanya.