Natafuta kazi kati ya hizi

Natafuta kazi kati ya hizi

cathy14

Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
37
Reaction score
23
Habari ndugu zangu! Natafuta kazi kati ya hizi personal Secretary, receptionist au customers care, Nimemaliza diploma ya Secretary Chuo cha Tanzania Public service college, nimchapa kazi na mwenye kujituma, Nina nia ya kufanya kazi! Kwa yeyote tuwasiliane PM
 
Tuma maombi mbona nafasi za kazi zimmetangazwa nyingi mwezi huu unataka kazi zakurushiwa PM?
 
Habari ndugu zangu!
Natafuta kazi kati ya hizi personal Secretary, receptionist au customers
care, Nimemaliza diploma ya Secretary Chuo cha Tanzania Public service
college, nimchapa kazi na mwenye kujituma, Nina nia ya kufanya kazi!
Kwa yeyote tuwasiliane PM

yan kazi za aina hiyo mwezi ulioisha zimetoka mnooo sema hautembelei sites za kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom