Mimi ni wakili mpya ambaye nimeapishwa december 2014.Natafuta law firm nijishikize .Nipo Dar Es Salaam ila tatizo sijui watu sababu natokea mkoani.mwenye uwezo wa kunisaidia ani PM.Thanks
Aende kwenye chambers mbalimbali za lawyer akacheki posibility. Ishu sio kusoma sheria sk izi kila program inagraduates lukuki ni kikomaa na changamoto na soko la ajira na kukiajiri tu.