mike matangazo ya kampun nyingne humu unayaona? jaribu mike.
vp umefankiwa ulichokuwa unakitafuta
Dah.....ukosefu Wa ajira na hatma ya Tanzania...
Mbona uhasibu umeuweka pembeni....nnapoona muhasibu wenzangu anapata tabu inaniuma sana ebu...nPM nkupe mchongo
Hajafanikiwa Bado... Mpigie simu maana hana access ya net, nilimtext kumwambia anauliziwa JF akasema hajafanikiwa na cm anayotumia now hai support net.
OK subir ntamcheki tu asiwe na hofu uku narekebisha mazingira