Natafuta kazi kada ya Ujenzi

Natafuta kazi kada ya Ujenzi

Granite

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
290
Reaction score
648
Habari wanajukwaa hili, kwa mara nyengine nakuja kwenu Wamiliki wa Makampuni, Maafisa Rasilimali watu, Wasimamizi wa miradi, Wahandisi wabobezi, viongozi na watanzania wenzangu Nawasilisha kwenu ombi langu la kutafuta nafasi ya ya ajira katika kada ya uhandisi ujenzi. Uzoefu wangu katika kada ya uhandisi ni miaka 2. Maeneo ambayo unaweza kufanya kwa ufanisi mkubwa ni

1.Designing (Building)
2.Supervision of Site Works both (Civil Works and Building Works)
3.Preparation of Bill of Quantities (BOQ)
4.Ninaweza kusimamia ujenzi wa nyumba ya kuishi kwa ubora na viwango kama ilivyosanifiwa na kama maelekezo ya Msanifu majengo yanavyohitaji

Academic qualifications
1.Bachelor in Civil Engineering
2.Diploma in Civil Engineering
3.ACSEE
4.CSEE

Professional Certificate
Graduate Engineer Certificate by Engineer Registration Board (ERB)
Industrial Risk and Security Management Certificate By Institute of Engineers of Tanzania (IET)
Construction Pre Contract Practice Certificate by Contractors Registration Board (CRB)

Computer Knowledge and Skills

1.Computer Aided Drawing (AutoCAD)
2.Prota Structure
3.ArchiCad
4.Microsoft Office Package (Word, Excel, Power Point, Publisher)

Nipo tayari kufanya kazi mahali popote katika nchi yetu. Ahsanteni

Naomba radhi kwa niliowakwaza nawatia moyo watafutaji wenzangu tusichoke, ATAFUTAYE HACHOKI, AKICHOKA KAPATA
 
Karibu sana mkuu
 
Wakuu bado mimi ni mtafutaji sijachoka, naomba ma Hr wa kwenye miradi inayoendelea
 
Kama huto jali fanya SEAP.

Pia AWUSA wametangaza kazi za technician wa ujenzi kama vipi unaeza omba alafu ikitokea mishe baadae una omba na cheti cha degree.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nifanye hivyo, SEAP nimeomba Mkuu nasubiri majibu ya bodi, nili apply Mwaka jana kupitia mtandao wao lakini naona kulikuwa na system error baada ya kufatilia walirekebisha nasubiri siku watakayotuita, Nashukuru sana kwa ushauri Mkuu, nitaufanyia kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom