Habari kwa jina naitwa anderson ninaishi jijini mbeya elimu yangu ni ya kidato cha nne na nina stahashada na nina certificate pia level ya procurement and supply manangement .
Ni kijana ninayetafuta ajira jijini mbeya nina uwezo wakufanya kazi katika kampuni ya binafsi na ya serikali katika hali yeyeto ile sitaangalia kama ni ya ofisini au la nimeshawai kufanya kazi nje ya nilichosomea au taaluma yangu katika hoteli mbalimbali dar es salaam so.
Nipo tayari kwa yeyeto atakaye niitaji ata kwa wali wanaotafuta vijana wa kazi katika fani mbalimbali maana nipo fasta kwa kujifunza
asante kwa ushirikiano wenu