O Oyono JF-Expert Member Joined Sep 9, 2013 Posts 222 Reaction score 35 Jan 20, 2014 #1 Wadau naombeni kazi!, fani yangu ni dereva lakini nikipata hata ya ukonda nitafanya hasa kwenye magari makubwa!, jamani tusaidiane watanzania!!!
Wadau naombeni kazi!, fani yangu ni dereva lakini nikipata hata ya ukonda nitafanya hasa kwenye magari makubwa!, jamani tusaidiane watanzania!!!
Maelephant Member Joined Aug 30, 2013 Posts 25 Reaction score 3 Jan 20, 2014 #2 Kama upo dar nicheki kwa PM nikupe michongo
O Oyono JF-Expert Member Joined Sep 9, 2013 Posts 222 Reaction score 35 Jan 20, 2014 Thread starter #3 Maelephant said: Kama upo dar nicheki kwa PM nikupe michongo Click to expand... Nipo ngara lakini hamna tatizo naomba michongo mtuwangu namba yangu ni {0763023065}
Maelephant said: Kama upo dar nicheki kwa PM nikupe michongo Click to expand... Nipo ngara lakini hamna tatizo naomba michongo mtuwangu namba yangu ni {0763023065}
R Ronis Kabelege Member Joined Dec 12, 2013 Posts 10 Reaction score 0 Jan 20, 2014 #4 Mkuu na mie natafuta kazi ya udereva. Kama kuna mchongo nisitue elimu yangu kidato cha 4. Nina uzoefu wa miaka mitano barabarani. Nina lesen daraja A,A2,B,D na E. Mawasiliano 0757003302
Mkuu na mie natafuta kazi ya udereva. Kama kuna mchongo nisitue elimu yangu kidato cha 4. Nina uzoefu wa miaka mitano barabarani. Nina lesen daraja A,A2,B,D na E. Mawasiliano 0757003302
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,665 Reaction score 97,417 Jan 20, 2014 #5 Madereva wanapendana sana ova smookers. Tatizo huku maofisini huku... All the best guys!