Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 202 Nov 11, 2009 Thread starter #21 Sipo said: dont display your phone number public ukifanya hivyo itakukost. Nenda kwenye profile yako tafuta sehemu ya 'send message' hiyo ndio kuPM ndugu yangu. Hutapata kazi wewe fanya bidii kuomba tu sehemu mbalimbali Click to expand... Thank you SIPO,kwa kunielewesha,nimeshawasiliana nae
Sipo said: dont display your phone number public ukifanya hivyo itakukost. Nenda kwenye profile yako tafuta sehemu ya 'send message' hiyo ndio kuPM ndugu yangu. Hutapata kazi wewe fanya bidii kuomba tu sehemu mbalimbali Click to expand... Thank you SIPO,kwa kunielewesha,nimeshawasiliana nae
A ANNA CHRISTIAN New Member Joined Sep 7, 2009 Posts 2 Reaction score 0 Nov 13, 2009 #22 Mi nigraduate kutoka cuo cha ustawi wa jamii. nilikuwa nachukua kozi social work. natafuta ka naomba nisaidieen
Mi nigraduate kutoka cuo cha ustawi wa jamii. nilikuwa nachukua kozi social work. natafuta ka naomba nisaidieen
A ANNA CHRISTIAN New Member Joined Sep 7, 2009 Posts 2 Reaction score 0 Nov 13, 2009 #23 Natafuta kazi, mi ni graduate kutoka chuo cha ustawi wa jamii Dar es salaam. naomba nisidieni
kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,236 Reaction score 4,989 Nov 16, 2009 #24 Mdau inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana mdau na usikate tamaa kila wakati unapoona chance kwenye magazeti au sehemu yeyote ile wewe apply 2
Mdau inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana mdau na usikate tamaa kila wakati unapoona chance kwenye magazeti au sehemu yeyote ile wewe apply 2
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 161 Nov 16, 2009 #25 ANNA CHRISTIAN said: Mi nigraduate kutoka cuo cha ustawi wa jamii. nilikuwa nachukua kozi social work. natafuta ka naomba nisaidieen Click to expand... kazi umepata, ni-PM.(niko siriazi wakuu msianze kuleta makuzi)
ANNA CHRISTIAN said: Mi nigraduate kutoka cuo cha ustawi wa jamii. nilikuwa nachukua kozi social work. natafuta ka naomba nisaidieen Click to expand... kazi umepata, ni-PM.(niko siriazi wakuu msianze kuleta makuzi)
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Nov 16, 2009 #26 George_Porjie said: kazi umepata, ni-PM.(niko siriazi wakuu msianze kuleta makuzi) Click to expand... GP haya bwana kama unaajili naomba na mie niku-PM
George_Porjie said: kazi umepata, ni-PM.(niko siriazi wakuu msianze kuleta makuzi) Click to expand... GP haya bwana kama unaajili naomba na mie niku-PM
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 161 Nov 16, 2009 #27 FirstLady1 said: GP haya bwana kama unaajili naomba na mie niku-PM Click to expand... haina neno, nitumie CV yako na picha full (sore, offtopic!)
FirstLady1 said: GP haya bwana kama unaajili naomba na mie niku-PM Click to expand... haina neno, nitumie CV yako na picha full (sore, offtopic!)