Natafuta kazi internship

bintiEdo1989

Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
94
Reaction score
24
Binti wa miaka 26 nimehitimu diploma ya Finance katika chuo cha Utumishi wa umma Tanzania natafuta kazi ya kujitolewa hii ikiwa ni kwa lengo la kupata uzoefu wa kile nilichokisoma kwa vitendo na kuongoza maarifa mwenye huitaji au kama kuna sehemu inajitaji mfanyakazi nijuzeni
 

Hongera mdada kwa kuhitimu taaluma yako, Suala rahisi kwako kupata Internship bila longo longo ni kurudi pale ulipo fanyia field maana wanakujua na itakua rahisi kupata nakutakia mafanikio mema mdau
Three months adventure in Island make me notorious in Activism Abroad:cheer2:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…