Natafuta Kazi Hotel Management

Natafuta Kazi Hotel Management

E Original

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
38
Reaction score
3
Wanajamvi naomba msaada kwa mtu yoyote aliyesikia tangazo la kazi kwa walio soma hotel management,kwa dada yangu yupo nyumban zaidi ya mwaka akitafuta kazi mpaka leo.

naomba mwnywe update ya kazi,

jamani ni serious
 
pole sana kwa dadako kukosa kazi...
jitahid kutembelea hili jukwaa mara kwa mara wanaupdate kla siku nafasi za kazi
 
ajaribu kupeleka cv au kujitolea kwenye hotel hata za level ya chini ,inaweza kuwa na fursa nzuri kwake!
 
Back
Top Bottom