Malick salehe
Member
- May 18, 2017
- 11
- 1
Nina uzoefu wa kutosha please nisaidieni Nina degree atakae pata nafasi nishtue
Umemaliza...........Nina uzoefu wa kutosha please nisaidieni Nina degree atakae pata nafasi nishtue
Kama utapata chanell yoyote ya kazi ya nishtue Nina degree ya environmental managementMmmh..!!! Mbn sijaelewa kitu na sijui hata usaidiwe nn
Nimemaliza ndio degree UDOMUmemaliza...........
Napata sana tabu na hiyo Degree yako km kujieleza kwa kuandika tena ukiwa umerelax huwezi kwny interview si utaenda kuniaibisha bureKama utapata chanell yoyote ya kazi ya nishtue Nina degree ya environmental management