Natafuta kazi, elimu kidato cha nne

Natafuta kazi, elimu kidato cha nne

Mangunga

Senior Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
115
Reaction score
39
jaman mm ni msichana mwenye umri wa miaka 20 natafuta kazi pia nina elimu ya kidato cha nne. Kwa atakaye guswa number yang ni 0718 492071.
 
Mangunga, ingependeza kama ungeweka wazi kazi unazoweza kufanya kuliko kusema tu unataka kazi yoyote. Atatokea mtu atasema anahitaji opareta wa mashine ya zege, kazi ambayo ni tofauti na kusimamia saluni labda.
Saidia watu wakusaidie...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom