engeneering ndo nini ndugu ? na hio degree ya electrical mechanic ni ipiMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33,Nina degree ya Electrical Mechanic Engeneering UDSM na uzoefu .
Wadau tafadhali nisaidieni .
Sent using Jamii Forums mobile app

kua serious mzee hakuna employer anakupa kazi kwa huu uandishi