Natafuta kazi duka la dawa

Natafuta kazi duka la dawa

Mimi ni bint (20yrs) naishi kibamba dar es salaam Natafuta kaz duka la dawa...kwa anae hitaji au aliye sikia mtu anahitaji anichek...plzz tusaidiane jaman...
Ebu jieleze vizuri kitaaluma binti,
Diploma/cheti/muuguzi/tabibu.?
 
Mimi ni binti (20yrs) naishi kibamba dar es salaam natafuta kazi duka la dawa kwa anae hitaji au aliye sikia mtu anahitaji anichek plz tusaidiane jaman.emoji19]
Nipm
 
Back
Top Bottom