Natafuta Kazi-Dodoma Mjini

Natafuta Kazi-Dodoma Mjini

lettymololo

Senior Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
132
Reaction score
11
Wakuu ni matumaini yangu mtakua ni wazima wa afya.

Kwa majina naitwa Faraja Mololo napatikana Dodoma, ombi langu kwenu ni kuomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza akanisaidia niweze pata kazi halali maeneo ya Dodoma mjini, huu ni mwaka wangu wa nne nafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika moja kubwa tu hapa Tanzania. Lengo langu nataka kama nikifanikiwa niweze kujiendeleza kielimu hata kwa masomo ya jioni.

Nitashukuru kwa yeyote ambae atakua na moyo wa kunisaidia, kwa ufafanuzi zaidi waweza tuma meseji kwa namba hii 0684864360.

Asante!
 
Wakuu ni matumaini yangu mtakua ni wazima wa afya.Kwa majina naitwa faraja mololo napatikana dodoma,ombi langu kwenu ni kuomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza akanisaidia niweze pata kazi halali maeneo ya dodoma mjini,huu ni mwaka wangu wa nne nafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika moja kubwa tu hapa tanzania.lengo langu nataka kama nikifanikiwa niweze kujiendeleza kielimu hata kwa masomo ya jioni.nitashukuru kwa yeyote ambae atakua na moyo wa kunisaidia.kwa ufafanuzi zaidi waweza tuma meseji kwa namba hii 0684864360 asante!

Faraja, hiyo kazi uliyonayo sasa hivi siyo ya halali???na kwanini unataka kuiacha? labda kujua sababu itasaidia wewe kupata kazi.
 
Dah maelezo yako yamenichanganya sana ubongo wangu.

Embu nifafanulie ulichosema hapo juu kwa kifupi sana.

Unatafuta kazi? Au unafanya kazi? Au unataka kuacha kazi?
 
unatafta kaz ip mbon ww ni mhasibu tena kaz ip unayo hitj au msaad gan unao taka ww,nyoosha maelezo yako uwez kupewa japo mawazo ufanyej
 
Sababu ya kutafuta kazi mjini nataka niwe jirani na vyuo ili niweze kujiendeleza kwa sasa nafanyia kazi vijijini huko.
 
Faraja, hiyo kazi uliyonayo sasa hivi siyo ya halali???na kwanini unataka kuiacha? labda kujua sababu itasaidia wewe kupata kazi.
Ni ya halali ila natamani niwe mjini jirani na vyuo ili niweze kusoma
 
Dah maelezo yako yamenichanganya sana ubongo wangu.

Embu nifafanulie ulichosema hapo juu kwa kifupi sana.

Unatafuta kazi? Au unafanya kazi? Au unataka kuacha kazi?

Ukiwa kama Barozi wa huo mji msaidie ndugu jaman anahitaji kubadilisha kazi
 
Sababu ya kutafuta kazi mjini nataka niwe jirani na vyuo ili niweze kujiendeleza kwa sasa nafanyia kazi vijijini huko.

Weka maelezo yako vizuri, kijiji ulipo kuna umbali gani na mjini?? Unaomba kazi au ushauri wa namna gani unavyoweza kujiendeleza kielimu?? tujue kwanza umbali wa kijiji ulipo na dodoma mjini halafu ndo tuangalie tunaweza kukushaurije dada angu.
 
Toa maelezo kamili dada usaidiwe hata mawazo. Acha uwoga.
Najua unataka kuja dodoma mjini ila tunataka kujua
Uko kijiji gani dodoma?

Kati ya ivi?
-mkonze
-chilinzi
-chamwino
-Chihanga
-mtera
-bahi
-chemba
-farkwa
-nala

ntakuelekeza kitu ukiwa karibu na vijiji ivi.
 
Nipo mkoka

amini usiamini kama hutaishia kuombwa namba na mwishowe kuombwa KITUMBUA utanambia...ridhika na kazi uliyo nayo sasa kama hyo ulipata unashndwaje kutafta dom town ukizingatia una uzoefu tayari
 
Nipo mkoka

Okey!! Kupata kazi ni jambo jingine na kusoma ni jambo jingine,kikubwa hapo amua moja kati ya hayo vinginevvyo mtaka yote hukosa yote

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
pole sana Mimi nakutakia kila la kheri.ila nami naomba details za huko utakako acha pengo ili nikazibe kama ikiwezekana.nina uzoefu wa mwaka mmoja working as branch accountant.pia ni diploma holder from Tanzania Institute of Accountancy.gender ni male
 
Wakuu ni matumaini yangu mtakua ni wazima wa afya.

Kwa majina naitwa Faraja Mololo napatikana Dodoma, ombi langu kwenu ni kuomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza akanisaidia niweze pata kazi halali maeneo ya Dodoma mjini, huu ni mwaka wangu wa nne nafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika moja kubwa tu hapa Tanzania. Lengo langu nataka kama nikifanikiwa niweze kujiendeleza kielimu hata kwa masomo ya jioni.

Nitashukuru kwa yeyote ambae atakua na moyo wa kunisaidia, kwa ufafanuzi zaidi waweza tuma meseji kwa namba hii 0684864360.

Asante!

The Open University of Tanzania ndo jibu la tatizo lako hapa kwan hata mimi nafanya kazi na nimemaliza BBA(Marketing) na kuvuna Upper Second na natarajia kuanza MBA soon...usilaze damu siku zinajongea hizi ohoo.
 
mimi nimechukua namba zake, ntakushauri private, na chuo ntakusaidia kutafuta mjini, na nyumba pia, kuna madalali wazuri sana pale jamatini, uhindini na nkuhungu.
 
Back
Top Bottom