Natafuta kazi degree electrical and electronics engineer

kingi mweuc

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
266
Reaction score
73
Wakuu kama Tittle inavyojieleza hapo juu, mimi ni Mtanzania nina umri wa miaka 27. Natafuta kazi ihusuyo mambo ya umeme, mimi ni graduate wa mwaka 2019.

Kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata kazi naomba ani pm, natanguliza shukrani na Mungu awabariki sana.
 
boss ungejiunga na mafundi sanifu wa veta wapo tu mtaani wanakula hela
 
Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.
Tupo Moshi ,Kilimanjaro
kama una interest tuwasiliane --0717157640
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…