Utaweza kuwa mvumilivu wa kusubiri kweli?maana tunaenda kwa foleni,mpaka wazawa na wenyeji wote wa Dar wawe wamepata kazi kwanza then wale waliokutangulia kuja mjini kutafuta kazi kama wewe mwisho kabisa wale uliokuwa nao siku moja kutafuta kazi na hapa pia inategemea nani alieanza kushuka kwenye Gari Ubungo,kama wewe ni wa kwanza utawawahi wenzako kama ulikuwa wa mwisho kushuka kwenye Gari wenzako watatangulia kupata kabla yako.