Natanguliza shukrani za dhati kwenu wakuu. Naitwa Robert ninatafuta kazi au sehemu yoyote ya kujitolea kufanya kazi kama Excavator Operator toka nimemaliza hii Kozi (VETA) nimehangaika sana kutafuta kazi but nilichogundua kazi nyingi sasa ni hadi mtu akushike mkono kifupi (Connection).
Nipo tayari kufanya kazi kokote pale Tanzania, Kwa yoyote atakae penda kunisaidia kupata kazi au connection nitashukuru Mungu awabariki. Kwa alie tayar kwa kunisaidia Namba yangu ni 0656515038.
View attachment 1620042