Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea kufanya kazi ya Excavator Operator

kingmb94

Member
Mar 20, 2017
53
36
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wakuu. Naitwa Robert ninatafuta kazi au sehemu yoyote ya kujitolea kufanya kazi kama Excavator Operator toka nimemaliza hii Kozi (VETA) nimehangaika sana kutafuta kazi but nilichogundua kazi nyingi sasa ni hadi mtu akushike mkono kifupi (Connection).

Nipo tayari kufanya kazi kokote pale Tanzania, Kwa yoyote atakae penda kunisaidia kupata kazi au connection nitashukuru Mungu awabariki. Kwa alie tayar kwa kunisaidia Namba yangu ni 0656515038.

images%20(13).jpg
 
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wakuu. Naitwa Robert nina tafuta kazi au sehemu yoyote ya kujitolea kufanya kazi kama Excavator Operator toka nime maliza hii kozi (VETA) nimeangaika sana kutafuta kazi but nilicho gundua kazi nyingi sasa ni adi mtu akushike mkono kifupi (Connection)
Nipo tayar kufanya kazi kokote pale Tanzania, Kwa yoyote atakae penda kunisaidia kupata kazi au connection nitashukuru mungu awabaliki.kwa alie tayar kwa kunisaidia Namb yang ni 065655038 View attachment 1620042
Namba ya simu uliyoweka tarakimu hazijatimia mkuu.
 
Ndugu kama uko dar nenda twiga cement kuna machine nyingi sana kama hizo na aina tofauti, kama unazo sifa nenda hadi pale kiwandani asbh utakuta watu getini wanasubiria kazi, simaanishi lazima utapata ila kazi zipo ukifika eneo husika utajiongeza, pia kule kwa waturuki markez wanaojenga reli kazi za kuoparate machine zinapatikana, kifupi hizo kazi zipo ila kuwezi kuzipata mtaani lazima uwe mtu wa kutembelea sehemu husika
 
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wakuu. Naitwa Robert ninatafuta kazi au sehemu yoyote ya kujitolea kufanya kazi kama Excavator Operator toka nimemaliza hii Kozi (VETA) nimehangaika sana kutafuta kazi but nilichogundua kazi nyingi sasa ni hadi mtu akushike mkono kifupi (Connection).

Nipo tayari kufanya kazi kokote pale Tanzania, Kwa yoyote atakae penda kunisaidia kupata kazi au connection nitashukuru Mungu awabariki. Kwa alie tayar kwa kunisaidia Namba yangu ni 0656515038.

View attachment 1620042
Una leseni? kama unayo nichek whatsapp 0656548919
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom