Natafuta kazi au nafasi ya kujitolea

Natafuta kazi au nafasi ya kujitolea

Lyinee

New Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Habarini za majukumu! Mm ni msichana nmemaliza Chuo mwaka Jana ktk fani ya business ila major yangu ni accounting ( bachelor) natafuta kazi au hata nafasi ya kujitolea ili nipate uzoefu zaidi ,pia Niko tayali kufanya kazi hata mikoa ifuatayo ,arusha,mwanzo,Dodoma, morogoro,na kwingineko ila hiyo ni first choice pia Niko tayali kufanya kazi yoyote mbali na fani niliyosomea,0675424932 hayo ndio mawasiliano yangu kwa yoyote atakae kuwa a naitaji kunisaidia, asante
 
Ungespecify level ya elimu
& nextime ukiandika ukumbuke kuedit...ili ujumbe ueleweke zaid.Asante!
 
Nenda halmashauri hizo ulizo Zitaja ukajitolee...
 
Habarini za majukumu! Mm ni msichana nmemaliza Chuo mwaka Jana ktk fani ya business ila major yangu ni accounting ( bachelor) natafuta kazi au hata nafasi ya kujitolea ili nipate uzoefu zaidi ,pia Niko tayali kufanya kazi hata mikoa ifuatayo ,arusha,mwanzo,Dodoma, morogoro,na kwingineko ila hiyo ni first choice pia Niko tayali kufanya kazi yoyote mbali na fani niliyosomea,0675424932 hayo ndio mawasiliano yangu kwa yoyote atakae kuwa a naitaji kunisaidia, asante
Upo wapi?? Nauli na kila kitu juu yako
 
Niko Dar, nauli ya mini kwani iyo kazi ipo wapi??
 
Ungespecify level ya elimu
& nextime ukiandika ukumbuke kuedit...ili ujumbe ueleweke zaid.Asante!
Habari wakuu!

Mimi ni kijana mwenye diploma in Information Technology (IT), natafuta ajira iliyo halali ama mahali popote dar es salaam ambapo naweza kufanya kazi kwa kujitolea ili niweze kupata uzoefu.

Pia, kama kuna fundi wa computer / mobile phone nitashkuru kama atanipa nafasi ya kujumuika nae ili niweze kujiimarisha zaidi kwenye ufundi.

Jinsia: Me
Umri: 24
Mahali napoishi: Dar es Salaam
Elimu: Diploma in Information Technology.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania Rural Empowrnment Organization-TAREO, Nia asasi isyo kuwa ya kiserikali yenye makao yakee makuu Moshi,Kilimanjaro.
Asasi hii inafanya kazi na jami hususani za vijijini.
Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ,sita au mwaka mmoja (3-12 ) katika vituo vyetu visuatavyo.
1. SHULEYA AWALI NA KITUO CHA VIJANA MAJENGO,MOSHI (Hii bi shule inayo fundisha watotot wadogo wa kati ya miaka 2-6
Tunahitaji waalimu wa kujitole.
2. MAJENGO VOCATIONAL TRAINING CENTRE, Ni kituo cha mafunzo ya ufundi stadi ,kilimo na ujasiriamali.
KINATOA MAFUNZO KWA AKINA MAMA,VIH=JANA NA JAMII ZA KATA ZA kahe.
3. MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT,CHO CHA UFUNDI STADI NA TECHNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILINO,Kipo moshi mjini.
4.HIMO ICT CENTRE;
Hiki ni kutuo cha mafunzo ya TEHAMA ,huduma za internet na stationary, kulicho HIMO-MOSHI
KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA WASILIANE NASI AU ATUME BARUA NA CV ZAKE KWA EMIAL...info@tareo-tz,org au simu no.
o717157659/0754469894.
Kwa wanaohitaji watume CV zao kwa email:
 
Back
Top Bottom