Natafuta kazi au kibarua

Natafuta kazi au kibarua

mypmuh

Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
18
Reaction score
23
Habari wanajamiiforums
Natafuta kibarua au kazi viwandani au sehemu nyingine yoyote
Jinsia yangu wakiume, umri miaka 23 Elimu kidato cha sita
Kwa yoyote naomba msaada
Nb. Ni mwepesi kujifunza na kuelewa
 
Habari wanajamiiforums
Natafuta kibarua au kazi viwandani au sehemu nyingine yoyote
Jinsia yangu wakiume, umri miaka 23 Elimu kidato cha sita
Kwa yoyote naomba msaada
Nb. Ni mwepesi kujifunza na kuelewa
Viwanda bado havijajengwa unamaanisha viwanda vipi mkuu!Bado tunajipanga
 
Umri wako bhado xana ukikoxa uxikate tamaa
Unakuruhushu hata kulima karibu xana mbeya utatoka tyu kimaixha
 
Habari wanajamiiforums
Natafuta kibarua au kazi viwandani au sehemu nyingine yoyote
Jinsia yangu wakiume, umri miaka 23 Elimu kidato cha sita
Kwa yoyote naomba msaada
Nb. Ni mwepesi kujifunza na kuelewa

nitumie namba yako katika 0769555642
 
Nahitaji watu wa marketing.
Unaposema mjini mambo mengi una maana gani?
marketing sawa bidhaa gani maana kuna bidhaa nyingi sna .. msaada hapo tafadhali na vipi kuhusu malipo ni kwa mwezi ama wiki ama kwa siku shukrani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom