Natafuta kazi/ajira/kibarua

Dini ya nini oak? Hahaaaaa usitaje dini hii Tz hatubaguani wala kutoa ajira kidini, halafu pia ukiweka tangazo weka title juu profession yako
 
Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza,
Naombeni msaada wenu wadau elimu yangu ni form IV (kidato cha 4) dini yangu ni muislam mzaliwa wa hapahapa Dar naomba mnisaidie hali yangu ni ngumu sana isitoshe nna mke, kazi yoyote naweza kufanya sharti iwe ya halali tu. Pia nimesomea udereva (basic driving course)
Kwa atakaeguswa na hili basi ani PM
Shukrani sana, nawasilisha
Ushauri tu, huwa hatusemi dini hata kwenye cv yako hicho kitu usiweke ni hatari kwa future yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom