natafuta kaz ya records management

Kuna sehemu ipo wazi wacha nifanye michakato nijue kwanza.... una umri gani wewe! ila nick yako mbona utata sana usije ukawapa sumu utakaowakuta.... muhimu usiwe mlevi tu... kama una tabia hiyo bora upotee tu sababu mwenye nafasi hiyo alikuwa ni mlevi sana...
 
jaribu kutembelea kwenye website ya tume ya ajira kwani utapa hiyo nafasi unayotaka nimeziona zipo nyingi kwa kitu ulichoomba.
 

Hahaha hamna m cyo mlevi na umri ni 21
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…