Natafuta IT/Computer Geek Partner


vipi Classmate wako?
 

Nakukubali sana dogo kwa kujitambua ni nini unahitaji kufanya. Kiukweli ni hii hali ngumu tu ya maisha hapa Bongo ndio watu tunahangaika kutafuta kuajiriwa na kwenda kupewa vimishahara uchwara. Komaa dogo utatoka tu, kama kweli unafahamu na unaipenda Programming basi juwa kabisa utajiri unatembea nao kichwani, usikubali kwenda kuajiriwa kwenye vikampuni vya ajabu ajabu ambavyo unawafanyia project moja wanaingiza millions of money halafu wao wanakulipa laki sita au laki nane kwa mwezi.
 
Hiki ndo tulichobakiwa nacho self employment ukimbwela kusubir ajila utaishia kujaza choo tuu na kukaa sitting room kuangalia series za kikorea
Hongera brother good idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…