baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 120
Mkuu unatafuta kwa ajilj yako, au kwa niaba ya mwingineNatafuta IST iliyo kwenye hali nzuri, iwe haijawahi pata ajali, haijarudiwa rangi no D.
Offer yangu ni milioni 7.
Mawasiliano ni 0766049522.
YanguMkuu unatafuta kwa ajilj yako, au kwa niaba ya mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haitoshi kuagiza sasa mkuuNakuhakikishia kuwa kwa million saba kuna wabongo watachangamkia hiyo fursa wakupige.Mimi hata uniwekee bastola kwenye paji la uso sinunui gari kutoka kwa rangi nyeusi!
Mkuu nitumie picha hapa niicheck 0766049522IPO number DG 7.5 (fixed)
Ushuru tu si chini ya mil 6 TRA akiagiza ahsee.Nunua tu used kwa mtu hapa bongo.Atajipa stress kutafuta pesa ya kuongezeaJichange zifike milioni 8.5 ununue Vitz mpya new model. Agiza Beforward.
M7 ni hela nyingi. U deserve a better car.
Used 2006 TOYOTA VITZ/DBA-SCP90 for Sale BH904505 - BE FORWARD
Used 2006 TOYOTA VITZ/DBA-SCP90 for sale. Find an affordable Used TOYOTA VITZ with No.1 Japanese used car exporter BE FORWARD.sp.beforward.jp
Gari nzee haiponi. Atanunua kwa m7, ataweka m1 kuikarabati tayari itafika kwenye nane!Ushuru tu si chini ya mil 6 TRA akiagiza ahsee.Nunua tu used kwa mtu hapa bongo.Atajipa stress kutafuta pesa ya kuongezea
Akiagiza asiwe na chini ya mil 12Gari nzee haiponi. Atanunua kwa m7, ataweka m1 kuikarabati tayari itafika kwenye nane!
Ndo maana nikamwambia aagize Vitz. Its way cheaper!Akiagiza asiwe na chini ya mil 12
OkayNatafuta IST iliyo kwenye hali nzuri, iwe haijawahi pata ajali, haijarudiwa rangi no D.
Offer yangu ni milioni 7.
Mawasiliano ni 0766049522.
Gari ishaenda Bukoba mara 6[emoji28][emoji28]Nakuhakikishia kuwa kwa million saba kuna wabongo watachangamkia hiyo fursa wakupige.Mimi hata uniwekee bastola kwenye paji la uso sinunui gari kutoka kwa rangi nyeusi!
Chukua 6 plz
Ngoja nita upload picNamba gani hii Boss