Hii ni ile yenye Bluetooth?
Kha! Utapita nayo wapi? Ivyo vitu viko outdated kitaambo! Kama vip tafuta iPad! Au ndio mganga wako amekutuma hivyo?
IPod dunia ya Leo ya kazi gani? Njoo mi nikupe bure sina kazi nayo
Ingia website ya apple angalia ipod 5 specs zake yake alafu rudi ucomment tena...!
Bei gani
Uko dunia yangapi kaka ipod miezi 2 iloyopita wametoa ipod 5 ambayo iko kama iphone 5s, unamwambia anunue ipad je akipata ipad 1 si yatakuwa yaleyale, uwe unachungulia chungulia mitandaoni kujua yanayoendelea, utakuja chekwa bure mjini hapa..
Hata wakitoa mpya! Ni sawa sawa na Sony watoe walk man mpya, utaishobokea coz ni mpya? Hiyo technologia ya ipod ishakuwa absorbed kwenye smart phone...
Kabla sijaongea sana naomba unijibh maswali yangu haya mawili
1)Tofauti ya ipod na ipad ni nini? Naomba uniambie tofauti yake kabla sijaendelea kupoteza muda wangu
2)Elimu yako ni darasa/Kidato cha ngapi?
P.S zingekuwa hazina soko wangeshaaha kutoa matoleo mapya siku nyingi! Usiifananishe ipod na walkman ni sawa sawa ufananishe na baiskeli na ndege..
GET YA FACT RIGHT BWOY...#init
Kha! Utapita nayo wapi? Ivyo vitu viko outdated kitaambo! Kama vip tafuta iPad! Au ndio mganga wako amekutuma hivyo?
Nahisi wewe ndo mshamba. iPod na iPad ni vitu tofauti, na hakuna kilichopitwa na wakati. Hivyo iPad sio mbadala wa iPod. Nna mashaka huvijui vitu hivi unasikia majina tu. After all si lazima kutumia lugha hiyo.