Siku hizi kuna tablet kwa ajiri ya watoto na zina games nyingi tu na nyingine unaweza ku download bei zake ni nafuu....Ipad zipo juu na inategemea kama ni Wifi au 3g na Gb ngapi,wewe bajeti yako ni tsh ngapi ????


Nahitaji ipad ya bei nafuu
kwa ajili ya kuweka michezo ya watoto. Mwenye nayo naomba awasiliane
nami tafadhali.
Ipo mpya ya laki 5, inaingia line ya simu, ina internet na vitu vingi kedekede GB 20.
Asanteni wote kwa majibu. Tuelekeeni kunako pm kukamilisha biashara sasa.
Bwana Jerry hapa ni mchanganyano kati ya Tablet na Ipad...Hivi kuna iPad yenye 20Gb? Duh basi mi ni mshamba
Cc: CHIEF MKWAWA
Bwana Jerry hapa ni mchanganyano kati ya Tablet na Ipad...