Habari Wadau,
Kwa ufupi tu, sisi ni subcontractor kwenye moja ya miradi ya serikali,tumeshafanya hii kazi zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Our Monthly Sales :Tzs 24Mn to 28Mn
Expenses : Tzs 4Mnn to 5Mn (pamoja na mishahara)
Kazi inalipa sana,tunatafuta mtu serious to partner with us.Nadhani nimeelewaka kiasi,Please DM for kwa maelezo zaidi.
Thanks.