N ngina25 Member Joined Feb 3, 2014 Posts 30 Reaction score 3 Mar 24, 2014 #1 Habari wanajamii! Natafuta internship wadau,kwa yeyote anaeweza kunisaidia nitashukuru. Nimegraduate mwaka jana,nina shahada ya uchumi. Ahsanten,kwa mawasiliano,pm or 0764056210
Habari wanajamii! Natafuta internship wadau,kwa yeyote anaeweza kunisaidia nitashukuru. Nimegraduate mwaka jana,nina shahada ya uchumi. Ahsanten,kwa mawasiliano,pm or 0764056210
M mkeyamasai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 383 Reaction score 153 Mar 25, 2014 #2 mbona internshp crdb zipo tele hasa kwa coz yako appy lkn usishangae aliesomea geography akachukuliwa wewe ukaachwa
mbona internshp crdb zipo tele hasa kwa coz yako appy lkn usishangae aliesomea geography akachukuliwa wewe ukaachwa