Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Jul 31, 2013 #2 Yani GPA Kubwa hvo halafu bado unahangaika mtaani?tatizo ni kozi uliyosoma ndo soko lake lina ushindani mkubwa au tatizo ni nin?
Yani GPA Kubwa hvo halafu bado unahangaika mtaani?tatizo ni kozi uliyosoma ndo soko lake lina ushindani mkubwa au tatizo ni nin?
mtoto matataa JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 391 Reaction score 249 Jul 31, 2013 #3 Perry said: Yani GPA Kubwa hvo halafu bado unahangaika mtaani?tatizo ni kozi uliyosoma ndo soko lake lina ushindani mkubwa au tatizo ni nin? Click to expand... GPA haimati tena siku hizi.kinachomata unamjua nani.gpa ni kinga tu kama unataka kuendelea kusoma.
Perry said: Yani GPA Kubwa hvo halafu bado unahangaika mtaani?tatizo ni kozi uliyosoma ndo soko lake lina ushindani mkubwa au tatizo ni nin? Click to expand... GPA haimati tena siku hizi.kinachomata unamjua nani.gpa ni kinga tu kama unataka kuendelea kusoma.