Wakunyumba Official
Member
- Nov 10, 2015
- 40
- 10
Sikia, ingia kwa website ya UN kaz kibao wametangaza alafu wanahitaji watu wa mwanza mwisho ni December Ku apply (UN jobs)
mbona wenzio hatuna hata internship taangu 2013 tulia wewe!
Naomba link kama unayo pls, thnks nwayz!
mbona wenzio hatuna hata internship taangu 2013 tulia wewe!
mbona wenzio hatuna hata internship taangu 2013 tulia wewe!
Ha ha hah...umemjibu vizuri sana....ye anazani kupata internship siku hizi ni kazi rahisi kama anavyofikiria
Inaonekana vichwa vyenu vigumu sana kuielewa hata nukta. Rudieni tena kusoma uzi wake na alichocomment mfahamu shida yake kubwa!
Wewe ndo unatakiwa usome tena hiyo thread ili uielewe vizuri.
Naomba nitafute Januari 2016