PAMILA Member Joined Mar 23, 2014 Posts 34 Reaction score 22 Jun 2, 2014 #1 Wanajamvi mimi ni graduate wa sheria (llb holder)natafuta nafasi ya kujitolea(volunteer) katika fani ya sheria na fani yoyote inayoendana na elimu yangu ili kujenga uzoefu na kupanua proffessional network. mwenye info pls awasiliane nami kwenye PM
Wanajamvi mimi ni graduate wa sheria (llb holder)natafuta nafasi ya kujitolea(volunteer) katika fani ya sheria na fani yoyote inayoendana na elimu yangu ili kujenga uzoefu na kupanua proffessional network. mwenye info pls awasiliane nami kwenye PM