Natafuta Ingine ya coaster 1HZ

Natafuta Ingine ya coaster 1HZ

Una maanisha nini?
Kwanza mimi niliona bei juu? labda kama huna uzoefu na spear za Magari
Wewe ndo huna uzoefu mkuu, hizo engine ni kuanzia milioni 8 nakendelea na hiyo ya 8 unakuta ilishafanyiwa na overhaul. Jipange hata na 10m sababu zina range m8 hadi 12 kwa engine nzuri.

Nasita kukwambia hiyo ya 4.5 unaweza kukuta hata imepigwa overhaul 3 nikiwa namaanisha inaweza ika inachemsha na kuka oil kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kashakujibu,hakuna engine ya 1hz mil 4 sijui ..... utaingia cha kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom