Natafuta Importer wa Ream Paper

Natafuta Importer wa Ream Paper

Natural

Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
49
Reaction score
12
Wadau, mwenye link ya hii huduma tafadhali saidia.
Natafuta importer wa ream papers aina ya Mond Number 1, Dolphin, Nopa au Mond Ratatrim. Nimejaribu kucheck na watu wa kariakoo lakini hawanipi link ya kueleweka.
 
Sema unataka mzigo kiasi gani!
 
Wadau,
Kama bei iko vizuri,
Nakaka carton 250 kwa mwezi.
 
umesomeka kiongozi, Je unahitaji kuanzia lini ? uko tayari tusaini makubaliano nikuletee hizo caton 250? kila mwezi ? kama ni ndiyo pls ni pm
 
Kuna kitu cha maana sana ambacho haujaelezea.., ambacho ukielezea utapunguza kero na kupata kile unachotaka kwa urahisi.....

Bei unayotaka iwe kati ya ngapi mpaka ngapi kwa carton ? yaani isizidi ngapi na mzigo ukufikie wapi ?
 
Back
Top Bottom