Natafuta housemate wa share nyumba. 2 or 3 bedroom.

Natafuta housemate wa share nyumba. 2 or 3 bedroom.

Natafuta mtu wakushare naye nyumba na rent. kama anayo tayari ni sawa au tutafute wote. 2 or 3 bedroom. awe single, no kids, working, christian, mke au mme no problem. budget ya less than Tsh200,00 per month per person. Dar es salaam

Budget ya 20,000/ per month unamaanish chakula ,maji,umeme,n.k umoumo au? Na je uko dar sehem gani na izo 2au3 vitanda unamaanisha nn?
 
Be careful utashare na majini nyumba..Bette umtafute mtu unayemfahamu..school mate...work mate nk..kibongo bongo utanyongwa
 
Anaham yakuchapwa vitu vyake uyo we utamtafutaje mtu from no where? Unajikuta tuu c o hostel iyo km unataka c upange rum moja au mbili mbn unaweza kulipa rent' c utakutana na jiran wengine apo
 
Be careful utashare na majini nyumba..Bette umtafute mtu unayemfahamu..school mate...work mate nk..kibongo bongo utanyongwa

acheni mawazo mgando na uoga usio na msingi, km mtu ni mgeni dar anapataje huyo mtu? ana akli timamu hivyo atachukua necessary precaution "kumfahamu" huyo mtu vizuri! hayo majini unayajua wewe tu?..aaaargh! watu kila siku wanashare nyumba bana!
 
Asanteni, though, you guys scared me to death. lakini imenipa changa moto.
 
njoo ukae kwangu buuure nina vyuma 2 havina kazi!!

mashariti ni kama uliyoandika wewe
 
njoo ukae kwangu buuure nina vyuma 2 havina kazi!!

mashariti ni kama uliyoandika wewe
Asante. lakini am serious, wacha utani. nikae kwako bure na mimi sio ndugu yako?
 
I am looking for the same kama wewe, ila watu wana masihara sana. Nakaa home kwa sasa, ila nataka kuhama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom