Natafuta House Girl.

Natafuta House Girl.

Elam

Member
Joined
May 19, 2009
Posts
49
Reaction score
11
Natafuta msichana wa kazi asizidi umri miaka 30, awetayari kufanya kazi nje ya Dar,pia awe na uelewa wa kufanya kazi za ndani.
Kwa mawasiliano piga 0713239363 au 0713708222.
Mshahara ni maelewano kulingana na kazi.
 
Wamo humu jf.watakupigia
 
Huyu hapa nimempa namba zako. VP kakupigia?

14493-2.jpg
 
Huyu hapa nimempa namba zako. VP kakupigia?

View attachment 87980
Ha ha haa! Akija huyu humo ndani baba mwenye nyumba utapangiwa ratiba ya kuondoka na kurudi nyumbani. Mke hatakubali kuondoka kazini kabla mumewe hajaondoka, na mume hataruhusiwa kurudi home kabla mke hajarudi. Kwa ufupi akija huyo ni sawa na kuwekewa camera ndani mwako!
 
Ambaye yupo serious tuwasiliane wadau..atakama ni ndugu yako tufanye mawasiliano..i real need her urgently
 
Yupo kikubwa usimzuwie kwenda kanisani yeye ni msabato anafanya kazi vizuri sana nitakupigia asubuhi tuongee zaidi
 
Ungetaja na responsibilities mkuu, nisije niikakuletea mdogo wangu akashindwa hata kupumzika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom