Habari za hapa jamvini wadau,
Natafuta hostel nzuri hapa dar es salaam tafhali kwa anayejua hostel nzuri anijulishe!
Block G, kwa mama thabitha....Halafu next time uelezee maelezo makamilifu. UMENIUDHI SANA.Habari za hapa jamvini wadau,
Natafuta hostel nzuri hapa dar es salaam tafhali kwa anayejua hostel nzuri anijulishe!
Block G, kwa mama thabitha....Halafu next time uelezee maelezo makamilifu. UMENIUDHI SANA.
Maelezo yake yako too general,...wewe unajua kama ni ke au me? au unahisi tu.Block G ni ya wanawake. Umeniudhi hujamuuliza kama ni ke au me
Block G, kwa mama thabitha....Halafu next time uelezee maelezo makamilifu. UMENIUDHI SANA.
Block G ni ya wanawake. Umeniudhi hujamuuliza kama ni ke au me
Mie najifunza umakanika garage kwa mangi.chuo gani unasoma