kamandawasua JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 326 Reaction score 86 Oct 23, 2015 #1 Kama kichwa hapo juu kilivyojieleza. Kama unafahamu wapi nitapata hapa Dar es Salaam na kwa bei gani jua nina hitaji. Asante kw ushirikiano.
Kama kichwa hapo juu kilivyojieleza. Kama unafahamu wapi nitapata hapa Dar es Salaam na kwa bei gani jua nina hitaji. Asante kw ushirikiano.
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,051 Oct 24, 2015 #2 Mimi mwenye nataka ukipata nishtue
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,051 Oct 24, 2015 #3 kamandawasua said: Kama kichwa hapo juu kilivyojieleza. Kama unafahamu wapi nitapata hapa Dar es Salaam na kwa bei gani jua nina hitaji. Asante kw ushirikiano. Click to expand... Kama unataka kwa ajili ya biashara tuagoze kwa Barraza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kamandawasua said: Kama kichwa hapo juu kilivyojieleza. Kama unafahamu wapi nitapata hapa Dar es Salaam na kwa bei gani jua nina hitaji. Asante kw ushirikiano. Click to expand... Kama unataka kwa ajili ya biashara tuagoze kwa Barraza
kamandawasua JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 326 Reaction score 86 Oct 26, 2015 Thread starter #4 Pritty wa joseph said: Kama unataka kwa ajili ya biashara tuagoze kwa Barraza Click to expand... Nope mi nataka moja now au mbili kulingana na bei ya hapa. Ila badae nina mpango wa kuagiza kwa ajili ya biashara.
Pritty wa joseph said: Kama unataka kwa ajili ya biashara tuagoze kwa Barraza Click to expand... Nope mi nataka moja now au mbili kulingana na bei ya hapa. Ila badae nina mpango wa kuagiza kwa ajili ya biashara.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Oct 26, 2015 #5 Njoo hapa shopeers Plaza masaki. Zipo kibao hapa. Bei ya kawaida.
kamandawasua JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 326 Reaction score 86 Nov 7, 2015 Thread starter #6 Saint Ivuga said: Njoo hapa shopeers Plaza masaki. Zipo kibao hapa. Bei ya kawaida. Click to expand... Bei gani mkuu na ni za aina gani
Saint Ivuga said: Njoo hapa shopeers Plaza masaki. Zipo kibao hapa. Bei ya kawaida. Click to expand... Bei gani mkuu na ni za aina gani
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Nov 7, 2015 #7 kamandawasua said: Bei gani mkuu na ni za aina gani Click to expand... Mimi sio muuzaji. Na bei sizijui ila kuna duka liko pale linauza shisha na hooker na vifaa vyote vya tobacco na mambo kama hayo
kamandawasua said: Bei gani mkuu na ni za aina gani Click to expand... Mimi sio muuzaji. Na bei sizijui ila kuna duka liko pale linauza shisha na hooker na vifaa vyote vya tobacco na mambo kama hayo